Leo nimeanza kufatilia kozi ya namna ya kujikwamua na madeni, nimempigia jamaa mmoja wa taasisi iliyonikopesha, nimemueleza kwa utulivu kabisa mkakati wangu wa kumaliza deni lakw huku nikimueleza namna mwezi huu nilivoshindwa kupeleka marejesho. Ngoma imetiki kwa 💯 pesa ya kurejesha ipo lakini nilikuwa nafanya mtihani✅💪💪💪💪💪💪💪 kuna uwezekano pia wa kulipa mwezi mmoja na kuskip mwezi mmoja ili kupunguza ukali wa deni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏