Karibu katika Joel Nanauka Masterclasses. Kuweza kuangalia video za kozi (Masterclasses) zangu zilizopita Bonyeza neno CLASSROOM hapo juu kulia. Ukibonyeza neno CLASSROOM utaona Masterclass 4. Chagua Masterclass unayotaka kuangalia video zake kwa kubonyeza neno OPEN chini yake. Ukishabonyeza neno OPEN zitafunguka video za Masterclass husika. Ili kuanza kuangalia video husika bonyeza button ya PLAY. Kisha video itaanza kuplay. Ukishamaliza kuangalia video husika hakikisha una click neno MARK AS DONE ili tujue umepitia video zetu mpaka wapi. Ukitaka kuendelea na module inayofuata click neno NEXT MODULE. Ukitaka kuangalia MENU ya kozi nzima click COURSE MENU. Ahsante.