Activity
Mon
Wed
Fri
Sun
Dec
Jan
Feb
Mar
Apr
May
Jun
Jul
Aug
Sep
Oct
Nov
What is this?
Less
More
3 contributions to Joel Nanauka
Ahsante JN
Leo nimeanza kufatilia kozi ya namna ya kujikwamua na madeni, nimempigia jamaa mmoja wa taasisi iliyonikopesha, nimemueleza kwa utulivu kabisa mkakati wangu wa kumaliza deni lakw huku nikimueleza namna mwezi huu nilivoshindwa kupeleka marejesho. Ngoma imetiki kwa 💯 pesa ya kurejesha ipo lakini nilikuwa nafanya mtihani✅💪💪💪💪💪💪💪 kuna uwezekano pia wa kulipa mwezi mmoja na kuskip mwezi mmoja ili kupunguza ukali wa deni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
0
0
Kuanzia Leo Madeni Stoooop😅
Nimeipotia kozi moja ya madeni ha ha ha ha najihisi sina deni tena😝😝😝😝😝
0
0
Ahsante.
Nashukuru nimeingia familia ya mafanikio. Mungu atubariki wote tukamilishe malengo yetu🙏🙏🙏🙏🙏
0
0
1-3 of 3
Boniface Mkomola
1
5 points to level up
@boniface-mkomola-1445
Dynamic

Active 319d ago
Joined May 24, 2022