Activity
Mon
Wed
Fri
Sun
Oct
Nov
Dec
Jan
Feb
Mar
Apr
May
Jun
Jul
Aug
Sep
What is this?
Less
More

Owned by Joel

Joel Nanauka

80 members • Free

Karibu kwenye Masterclasses za Joel Nanauka.

13 contributions to Joel Nanauka
Steven Chambua
Pole na kazi ya kujenga Taifa Mr Joel. Nashukur sana kwa maarifa haya kuyapata kutoka kwako Mr Joel, Mungu akubariki sana. Nimejifunza vitu vingi vya msingi ambavyo ninatakiwa kuvifanya kabla ya kujiajili. Baadhi ya vitu vya msingi nilivyojifinza - Lazima niwe na ujuzi, kupenda na maajifa ili niweze kujiajili katika fursa fulan. - Eneo au mtandao wa watu wanaonizunguka ni fursa ya kujiajili. - Na lazima niamue sasa kujiajili baada ya kufanya tasmini ya kile ninachokwenda kufanya. - mwisho nashukur sana, kozi inashawishi kufanya jambo jipya na ni nzuri sana nimejifunza vitu ambavyo ninaweza kufanya pasipo kujitegemea mshahara.
0 likes • Apr '22
Honngera sana @Steven Chambua nafurahi kuona unajifunza
Nimejifunza kitu cha thamani sana na sasa nimepata nguvu ya kuanza
#Baada ya Kufuata Hatua Hizi Fanya Hichi kiukweli nimepata kitu cha thamani kubwa sana katika kipengele hichi na nimeona nina uhitaji wa kitabu cha HATUA ZA KUJIAJIRI , kaka naomba uendelee kutujuza masomo mengine yakitokea , Kwa sasa naamua kuanza sasa mana nilikuwa naogopa sana kuanza kipaji ninacho , ujuzi ninao ila fursa sikuwa nayo Ahsante sana kaka Mimi nitamlipia mtu 1 katika kozi hii
0 likes • Apr '22
Hongera sana @Tumaini Ndishe nafurahi kuona unazidi kujifunza.
Shukurani
Nimejifunza mambo muhimu na nimegundua nilipokosea na ninapotakiwa kubadilika. Nimemaliza kozi leo na naanza kufanyia kazi, nitarudi kuleta mrejesho wa yale ninayoenda kuyafanyia kazi
0 likes • Apr '22
Hongera sana @Bupe Mwakalundwa
Mauzo
I am so glad for this Mauzo class. Imenionesha namna mbalimbali ambazo sikuwa natumia katika biashara yangu. Nimeanza kufanyia kazi na nna amini ntapata positive results katika biashara yangu.
1 like • Apr '22
Safi sana @Careen Mshanga nafurahi kuona unapata positive results.
1-10 of 13
Joel Nanauka
2
9 points to level up
@joel-nanauka-9934
Life Coach

Active 8d ago
Joined Feb 15, 2022