Pole na kazi ya kujenga Taifa Mr Joel.
Nashukur sana kwa maarifa haya kuyapata kutoka kwako Mr Joel, Mungu akubariki sana. Nimejifunza vitu vingi vya msingi ambavyo ninatakiwa kuvifanya kabla ya kujiajili.
Baadhi ya vitu vya msingi nilivyojifinza
- Lazima niwe na ujuzi, kupenda na maajifa ili niweze kujiajili katika fursa fulan.
- Eneo au mtandao wa watu wanaonizunguka ni fursa ya kujiajili.
- Na lazima niamue sasa kujiajili baada ya kufanya tasmini ya kile ninachokwenda kufanya.
- mwisho nashukur sana, kozi inashawishi kufanya jambo jipya na ni nzuri sana nimejifunza vitu ambavyo ninaweza kufanya pasipo kujitegemea mshahara.