Airbnb Kitajiri PRO
Private
4 members
Free
Airbnb Kitajiri PRO ni programu ya siku 7 inayokupa mfumo kamili wa kuanza na kukuza biashara ya Airbnb Tanzania, na kutengeneza 800,000–5,000,000 Tsh kwa mwezi hata kama huna nyumba.
Mfumo huu umeundwa kutoka uzoefu halisi wa soko na Ian Metili, mwenye biashara ya ukodishaji wa muda mfupi iitwayo TajiriBNB, iliyosajiliwa Tanzania, na uzoefu wa zaidi ya miaka 7 katika biashara hii. Na ndani ya miezi 15, Ian, pamoja na team ya TajiriBnB wamefanikiwa kufanya mauzo ya zaidi ya Milioni 100
Hadi sasa, programu hii imepitwa na zaidi ya wanafunzi 400 waliopata matokeo kadha wa kadha, wakiwemo waliopata bookings za mwezi mmoja au zaidi haraka baada ya kutumia mfumo huu. Programu inajumuisha video 77 za kina (masaa 13+), vitendea kazi kama workbooks, checklist za vitendo, templates za mikataba, na vinginevyo, zikikuongoza hatua kwa hatua kuendesha Airbnb kwa faida.
Ikiwa unataka kuacha kubahatisha na kuanza kutumia mfumo unaothibitishwa kutoa matokeo, Airbnb Kitajiri PRO 2.0 ndiyo suluhisho.
powered by
Airbnb Kitajiri PRO
skool.com/airbnb-kitajiri-pro-1598
Programu ya siku 7 itakayokuonyesha namna ya kutengeneza Tsh 800,000–5,000,000 kwa mwezi kupitia Airbnb — hata kama huna nyumba.